”Biblia Takatifu ya Kiswahili

Biblia Takatifu ya Kiswahili

  • 7.4 MB

    ขนาดไฟล์

  • Android 4.1+

    Android OS

เกี่ยวกับ Biblia Takatifu ya Kiswahili

The Holy Bible in Swahili - Swahili Bible

Biblia Takatifu ya Kiswahili - Swahili Bible

Biblia ya Kikristo ni mkusanyo wa maandiko matakatifu ya Ukristo. Maandiko hayo mbalimbali yanaitwa tangu zamani sana "vitabu" tu, inavyomaanishwa na neno "biblia" ambalo ni uwingi wa neno la Kigiriki "biblos" yaani "kitabu".

Hutofautishwa na Tanakh ambayo ndiyo maandiko matakatifu ya dini ya Uyahudi na ambayo pengine inatajwa kwa jina lilelile la "Biblia", hasa katika matoleo ya Biblia ya Kiebrania . Vitabu vyake vimo katika sehemu ya kwanza ya Biblia ya Kikristo kwa jina la "Agano la Kale".

Biblia ya Kikristo hugawiwa sehemu mbili ambayo ni Agano la Kale na Agano Jipya. Agano la Kale lina maandiko yaliyoandikwa kabla ya Yesu Kristo na vitabu vya Agano Jipya viliandikwa baada yake.

แสดงเพิ่มเติม

What's new in the latest 5.6.5

Last updated on 2020-02-14
sisi imesababisha shambulio, utendaji bora na kuongezea baadhi ya vipengele
แสดงเพิ่มเติม

วิดีโอและภาพหน้าจอ

  • Biblia Takatifu ya Kiswahili โปสเตอร์
  • Biblia Takatifu ya Kiswahili ภาพหน้าจอ 1
  • Biblia Takatifu ya Kiswahili ภาพหน้าจอ 2
  • Biblia Takatifu ya Kiswahili ภาพหน้าจอ 3
  • Biblia Takatifu ya Kiswahili ภาพหน้าจอ 4
  • Biblia Takatifu ya Kiswahili ภาพหน้าจอ 5
  • Biblia Takatifu ya Kiswahili ภาพหน้าจอ 6
  • Biblia Takatifu ya Kiswahili ภาพหน้าจอ 7
APKPure ไอคอน

การดาวน์โหลดที่รวดเร็วและปลอดภัยเป็นพิเศษผ่านแอป APKPure

คลิกเพียงครั้งเดียวเพื่อติดตั้งไฟล์ XAPK/APK บน Android!

ดาวน์โหลด APKPure
thank icon
เราใช้คุกกี้และเทคโนโลยีอื่น ๆ บนเว็บไซต์นี้ เพื่อปรับปรุงประสบการณ์การใช้งานของคุณ
การคลิกลิงก์ใด ๆ ในหน้านี้แสดงว่าคุณยินยอมในส่วนของ นโยบายความเป็นส่วนตัว และ นโยบายคุกกี้ ของเรา
เรียนรู้เพิ่มเติม