Biblia Takatifu ya Kiswahili

Biblia Takatifu ya Kiswahili

  • 7.4 MB

    Bestandsgrootte

  • Android 4.1+

    Android OS

Over Biblia Takatifu ya Kiswahili

De Bijbel in het Swahili - Swahili Bible

Biblia Takatifu ya Kiswahili - Swahili Bible

Biblia ya Kikristo ni mkusanyo wa maandiko matakatifu ya Ukristo. Maandiko hayo mbalimbali yanaitwa tangu zamani sana "vitabu" tu, inavyomaanishwa na neno "biblia" ambalo ni uwingi wa neno la Kigiriki "biblos" yaani "kitabu".

Hutofautishwa na Tanakh ambayo ndiyo maandiko matakatifu ya dini ya Uyahudi na ambayo pengine inatajwa kwa jina lilelile la "Biblia", hasa katika matoleo ya Biblia ya Kiebrania . Vitabu vyake vimo katika sehemu ya kwanza ya Biblia ya Kikristo kwa jina la "Agano la Kale".

Biblia ya Kikristo hugawiwa sehemu mbili ambayo ni Agano la Kale na Agano Jipya. Agano la Kale lina maandiko yaliyoandikwa kabla ya Yesu Kristo na vitabu vya Agano Jipya viliandikwa baada yake.

Meer Info

What's new in the latest 5.6.5

Last updated on 2020-02-14
sisi imesababisha shambulio, utendaji bora na kuongezea baadhi ya vipengele
Meer Info

Video's en screenshots

  • Biblia Takatifu ya Kiswahili-poster
  • Biblia Takatifu ya Kiswahili screenshot 1
  • Biblia Takatifu ya Kiswahili screenshot 2
  • Biblia Takatifu ya Kiswahili screenshot 3
  • Biblia Takatifu ya Kiswahili screenshot 4
  • Biblia Takatifu ya Kiswahili screenshot 5
  • Biblia Takatifu ya Kiswahili screenshot 6
  • Biblia Takatifu ya Kiswahili screenshot 7
APKPure-icoon

Supersnel en veilig downloaden via de APKPure-app

Eén klik om XAPK/APK-bestanden op Android te installeren!

Downloaden APKPure
thank icon
We use cookies and other technologies on this website to enhance your user experience.
By clicking any link on this page you are giving your consent to our Privacy Policy and Cookies Policy.
Learn More about Policies