Biblia Takatifu ya Kiswahili

Biblia Takatifu ya Kiswahili

  • 7.4 MB

    Saiz Fail

  • Android 4.1+

    Android OS

Mengenai Biblia Takatifu ya Kiswahili

The Holy Bible in Swahili - Swahili Bible

Biblia Takatifu ya Kiswahili - Swahili Bible

Biblia ya Kikristo ni mkusanyo wa maandiko matakatifu ya Ukristo. Maandiko hayo mbalimbali yanaitwa tangu zamani sana "vitabu" tu, inavyomaanishwa na neno "biblia" ambalo ni uwingi wa neno la Kigiriki "biblos" yaani "kitabu".

Hutofautishwa na Tanakh ambayo ndiyo maandiko matakatifu ya dini ya Uyahudi na ambayo pengine inatajwa kwa jina lilelile la "Biblia", hasa katika matoleo ya Biblia ya Kiebrania . Vitabu vyake vimo katika sehemu ya kwanza ya Biblia ya Kikristo kwa jina la "Agano la Kale".

Biblia ya Kikristo hugawiwa sehemu mbili ambayo ni Agano la Kale na Agano Jipya. Agano la Kale lina maandiko yaliyoandikwa kabla ya Yesu Kristo na vitabu vya Agano Jipya viliandikwa baada yake.

Tunjukkan Lagi

What's new in the latest 5.6.5

Last updated on 2020-02-14
sisi imesababisha shambulio, utendaji bora na kuongezea baadhi ya vipengele
Tunjukkan Lagi

Video dan tangkapan skrin

  • Biblia Takatifu ya Kiswahili penulis hantaran
  • Biblia Takatifu ya Kiswahili syot layar 1
  • Biblia Takatifu ya Kiswahili syot layar 2
  • Biblia Takatifu ya Kiswahili syot layar 3
  • Biblia Takatifu ya Kiswahili syot layar 4
  • Biblia Takatifu ya Kiswahili syot layar 5
  • Biblia Takatifu ya Kiswahili syot layar 6
  • Biblia Takatifu ya Kiswahili syot layar 7
APKPure ikon

Muat Turun Super Pantas dan Selamat melalui Apl APKPure

Satu klik untuk memasang fail XAPK/APK pada Android!

Muat Turun APKPure
thank icon
Kami gunakan kuki dan teknologi yang lain pada laman web ini untuk menambah baik pengalaman anda.
Dengan klik mana-mana pautan pada halaman ini, anda bersetuju dengan Dasar Privasi dan Dasar Kuki kami.
Baca Yang Selanjutnya