Ushairi wa Mwanagenzi

Ushairi wa Mwanagenzi

Kĩmani wa Mbogo
Aug 17, 2018
  • 6.9 MB

    Taille de fichier

  • Android 4.0.3+

    Android OS

À propos de Ushairi wa Mwanagenzi

Learn about Swahili Poetry and read lots of Swahili Poems from different artists

Ushairi wa Mwanagenzi ni kitumizi kinachompa tumaini mshairi chipukizi aliye na ari ya kuwa malenga ili kuendeleza fani ya ushairi. Pamoja na kuimarisha washairi chipukizi. kitumizi hiki huelimisha na kuchanganua masuala tofauti yanayohitajika katika ushairi bora.

Utasoma mengi kutoka kwa washairi chipukizi nchini Kenya na Tanzania. Makala yametolewa kwa tovuti ya www.mwanagenzi.com iliyo na lengo la kuwapa moyo washairi chipukizi. Kuna maelezo kemkem yanayoelezea na kufafanua kuhusu ushairi wa Kiswahili. Ni maelezo na mashairi yatakayomfaa mwanafunzi wa shule ya msingi, sekondari au chuo kikuu.

Hivi hapa vidokezo vya kitumizi hiki:

- Mpangilio mwafaka wa maelezo kwa lugha teule ya Kiswahili.

- Mashairi yaliyopangwa kwa aina, washairi, maudhui na bahari.

- Arifiwa punde tu tunapochapisha mashairi mapya.

- Tafuta mashairi kulingana na maudhui, watunzi au maneno kwenye mashairi

- Picha iliyoteuliwa kwa kila shairi inayoambatana na dhamira ya kila shairi.

- Soma shairi moja kwa jingine kwa urahisi wa kufungua.

- Hifadhi mashairi kwa kubonyeza kitufe ili uyasome baadaye.

- Shirikisha mashairi na makala kwa wengine kutumia Whatsapp, Facebook n.k.

- Linki muhimu zitakazokuelekeza kwa tovuti za Mwanagenzi Mtafiti.

Tutazidi kusasisha kitumizi hiki na kuongeza maelezo, mashairi na makala mbalimbali ili kukufaa zaidi. Tafadhali kipendekeze kwa kuweka nyota tano.

Shukran.

Voir plus

What's new in the latest 16.01

Last updated on 2018-08-17
- Kifaa cha kutafutia mashairi
- Picha mpya ya utangulizi
- Mpangilio mpya wa kurasa za mashairi
- Linki mpya kuhusu maelezo ya ushairi
- Mashairi mapya kutoka kwa washairi mbalimbali
- Ukubwa wa programu umepunguzwa
- Mabadiliko madogo madogo
Voir plus

Vidéos et captures d'écran

  • Ushairi wa Mwanagenzi Affiche
  • Ushairi wa Mwanagenzi capture d'écran 1
  • Ushairi wa Mwanagenzi capture d'écran 2
  • Ushairi wa Mwanagenzi capture d'écran 3
  • Ushairi wa Mwanagenzi capture d'écran 4
  • Ushairi wa Mwanagenzi capture d'écran 5
  • Ushairi wa Mwanagenzi capture d'écran 6
  • Ushairi wa Mwanagenzi capture d'écran 7

Vieilles versions de Ushairi wa Mwanagenzi

APKPure icône

Téléchargement super rapide et sûr via l'application APKPure

Un clic pour installer les fichiers XAPK/APK sur Android!

Téléchargement APKPure
thank icon
We use cookies and other technologies on this website to enhance your user experience.
By clicking any link on this page you are giving your consent to our Privacy Policy and Cookies Policy.
Learn More about Policies