Ushairi wa Mwanagenzi

Ushairi wa Mwanagenzi

Kĩmani wa Mbogo
Aug 17, 2018
  • 6.9 MB

    Dateigröße

  • Android 4.0.3+

    Android OS

Über Ushairi wa Mwanagenzi

Erfahren Sie mehr über Swahili Poetry und lesen Sie viele Swahili Poems von verschiedenen Künstlern

Ushairi wa Mwanagenzi ni kitumizi kinachompa tumaini mshairi chipukizi aliye na ari ya kuwa malenga ili kuendeleza fani ya ushairi. Pamoja na kuimarisha washairi chipukizi. kitumizi hiki huelimisha na kuchanganua masuala tofauti yanayohitajika katika ushairi bora.

Utasoma mengi kutoka kwa washairi chipukizi nchini Kenya na Tanzania. Makala yametolewa kwa tovuti ya www.mwanagenzi.com iliyo na lengo la kuwapa moyo washairi chipukizi. Kuna maelezo kemkem yanayoelezea na kufafanua kuhusu ushairi wa Kiswahili. Ni maelezo na mashairi yatakayomfaa mwanafunzi wa shule ya msingi, sekondari au chuo kikuu.

Hivi hapa vidokezo vya kitumizi hiki:

- Mpangilio mwafaka wa maelezo kwa lugha teule ya Kiswahili.

- Mashairi yaliyopangwa kwa aina, washairi, maudhui na bahari.

- Arifiwa punde tu tunapochapisha mashairi mapya.

- Tafuta mashairi kulingana na maudhui, watunzi au maneno kwenye mashairi

- Picha iliyoteuliwa kwa kila shairi inayoambatana na dhamira ya kila shairi.

- Soma shairi moja kwa jingine kwa urahisi wa kufungua.

- Hifadhi mashairi kwa kubonyeza kitufe ili uyasome baadaye.

- Shirikisha mashairi na makala kwa wengine kutumia Whatsapp, Facebook n.k.

- Linki muhimu zitakazokuelekeza kwa tovuti za Mwanagenzi Mtafiti.

Tutazidi kusasisha kitumizi hiki na kuongeza maelezo, mashairi na makala mbalimbali ili kukufaa zaidi. Tafadhali kipendekeze kwa kuweka nyota tano.

Shukran.

Mehr anzeigen

What's new in the latest 16.01

Last updated on 2018-08-17
- Kifaa cha kutafutia mashairi
- Picha mpya ya utangulizi
- Mpangilio mpya wa kurasa za mashairi
- Linki mpya kuhusu maelezo ya ushairi
- Mashairi mapya kutoka kwa washairi mbalimbali
- Ukubwa wa programu umepunguzwa
- Mabadiliko madogo madogo
Mehr anzeigen

Videos und Screenshots

  • Ushairi wa Mwanagenzi Plakat
  • Ushairi wa Mwanagenzi Screenshot 1
  • Ushairi wa Mwanagenzi Screenshot 2
  • Ushairi wa Mwanagenzi Screenshot 3
  • Ushairi wa Mwanagenzi Screenshot 4
  • Ushairi wa Mwanagenzi Screenshot 5
  • Ushairi wa Mwanagenzi Screenshot 6
  • Ushairi wa Mwanagenzi Screenshot 7

Ushairi wa Mwanagenzi APK -Informationen

Letzte Version
16.01
Kategorie
Lernen
Android OS
Android 4.0.3+
Dateigröße
6.9 MB
Sichere und schnelle APK-Downloads auf APKPure
Mit APKPure können Sie Ushairi wa Mwanagenzi APK einfach und sicher mit Signaturüberprüfung herunterladen.

Alte Versionen von Ushairi wa Mwanagenzi

APKPure Zeichen

Superschnelles und sicheres Herunterladen über die APKPure-App

Ein Klick zur Installation von XAPK/APK-Dateien auf Android!

Download APKPure
thank icon
We use cookies and other technologies on this website to enhance your user experience.
By clicking any link on this page you are giving your consent to our Privacy Policy and Cookies Policy.
Learn More about Policies