Kuku ni Biashara

  • 5.5 MB

    File Size

  • Android 5.0+

    Android OS

About Kuku ni Biashara

Ni App bora kwako katika kutoa elimu juu ya Ufugaji wa kuku aina zote kitaalamu

Ni App bora ambayo imejikita katika kutoa elimu juu ya ufugaji wa kuku aina zote kitaalamu

Kupitia App hii utapata maelekezo rahisi na sahihi ya kutatua changamoto mbalimbali za ufugaji kuku ,ikiwemo Malezi ya vifaranga, ujenzi wa banda sahihi, Magonjwa , chanjo, vyakula vya kuku, masoko ya bidhaa zitokanazo na kuku, utotoleshaji wa mayai N.k

Kupitia App hii utaweza kuuliza maswali kwa mtaalamu wa Kuku na utajibiwa moja kwa moja kupitia , Instagram, Twitter, Facebook, YouTube na WhatsApp group.

Show MoreShow Less

What's new in the latest 1.2.2

Last updated on 2024-07-01
Offline mode enabled
Added Social networks
Play/Video button enabled
Auto push notification - Latest Updates
Bugs Fixed and Performance Improved

Old Versions of Kuku ni Biashara

Super Fast and Safe Downloading via APKPure App

One-click to install XAPK/APK files on Android!

Download APKPure