App maalum kwa kutoa mafunzo juu ya ufugaji kibiashara kwa njia rahisi
Hii ni App maalum kwa ajili ya kutoa mafunzo juu ya ufugaji kibiashara kwa njia rahisi. Tumejikita katika kutoa mafunzo kuhusu wanyama kama vile Kuku, Ng'ombe, Mbuzi, Sungura na weengineo.
Pamoja na App hii pia tuna Group letu la WhatsApp, hapa utajiunga kwa kupiga namba hii 0762 799 080 kisha utapewa maelekezo zaidi.
Pia App yetu ipo sambamba na Website yetu maalum ya dfcveterinarycentre.com. Utakua na uwanja mpana wa kujifunza na kutoa maoni na maswali kupitia sehemu ya Commenti.
Zaidi ya yote tunakukaribisha Ujifunze, Uelimike katika ufugaji wenye tija kibiashara.
Mawasiliano.
E-mail: [email protected]
WhatsApp: 0762 799 080.
Sito web: www.dfcveterinarycentre.com
NB. Ukiwa na mahitaji ya kutengenezewa App Android, blog su sito web.
Wasiliana nasi kupitia mawasiliano yaliyotajwa hapo juu.

What's new in the latest 2.4
Informazioni sull'APK Ufugaji Bora Kibiashara

Vecchie versioni di Ufugaji Bora Kibiashara
Ufugaji Bora Kibiashara 2.4
Ufugaji Bora Kibiashara 2.3
Ufugaji Bora Kibiashara 2.0
Ufugaji Bora Kibiashara 1.8

Download super veloce e sicuro tramite l'app APKPure
Basta un clic per installare i file XAPK/APK su Android!