Ubongo Kids - Hesabu za Panya

Ubongo Kids - Hesabu za Panya

Ubongo
2016年11月29日
  • 68.0 MB

    文件大小

  • Android 2.3.2+

    Android OS

关于Ubongo Kids - Hesabu za Panya

Msaidie Kibena kuhamisha班雅夸kujiunga NAE kwenye kitabu hiki茶maajabu!

Tumia ubongo wako kumsaidia Kibena kuwahamisha panya kwa kushirikiana nae kwenye kitabu hiki cha maajabu! Hadithi hii iliyoko kwenye kitabu hiki cha maajabu imetoka kwenye kipindi maarufu cha “Heka Heka za Panya”.

Utapata nafasi ya kusoma hadithi mwenyewe ama kusomewa. Tumia ubongo wako kufikiria na kufumbua mafumbo mbalimbali ili uweze kupata fursa ya kufungua ukurasa wa kitabu unaofuatia. Ila hakikisha kuwa husahau panya yeyote njiani! Kitabu hiki ni BURE kabisa, hutahitajika kulipia chochote mwanzo hadi mwisho.

JIFUNZE:

-Thamani za namba

-Kujumlisha

-Kutoa

-Kusoma

Umeiona AKILI’S ALPHABET – app MPYA toka UBONGO?

Ahsante kwa kupakua Ubongo Kids – Hesabu za Panya. Tunakukaribisha ujaribu “Akili’s Alphabet” – app yetu mpya ya BURE inayoelimisha watoto wenye umri wa miaka 3 hadi 6.

Mtoto wako atajifunza sauti za herufi kupitia app hii kutoka kwa waandaaji wa kipindi akipendacho cha Akili and Me. Atafurahi na Akili na marafiki huku akisikiliza herufi zinavyotamkwa na kuzifananisha kwenye simu.

"Akili's Alphabet" itamwezesha mtoto wako ajifunze lugha ya pili, huku akicheza na kusikiliza nyimbo alizozizoea kutoka kwenye kipindi cha Akili and Me. Tafuta tu "Akili's Alphabet" hapa Google Play, na utaipata mara moja.

KUHUSU UBONGO:

Ubongo ni kampuni ya kijamii iliyopo nchini Tanzania ambayo imedhamiria kuwawezesha wanafunzi kujifunza na kufurahia kujifunza kupitia njia za kidigitali zinazoendana na mazingira halisi ya Afrika. Kipindi chetu cha Ubongo Kids kinazifikia zaidi ya familia 2.8 milioni kila wiki katika nchi za Tanzania, Kenya, Uganda, Rwanda, na Ghana na kuwawezesha wanafunzi kujifunza Hisabati na Sayansi.

更多

最新版本1.2.1的更新日志

Last updated on 2016年11月29日
Enhanced performance and user experience
更多

视频和屏幕截图

  • Ubongo Kids - Hesabu za Panya 海报
  • Ubongo Kids - Hesabu za Panya 截图 1
  • Ubongo Kids - Hesabu za Panya 截图 2
  • Ubongo Kids - Hesabu za Panya 截图 3
  • Ubongo Kids - Hesabu za Panya 截图 4
  • Ubongo Kids - Hesabu za Panya 截图 5
  • Ubongo Kids - Hesabu za Panya 截图 6
  • Ubongo Kids - Hesabu za Panya 截图 7

Ubongo Kids - Hesabu za Panya APK信息

最新版本
1.2.1
类别
教育
Android OS
Android 2.3.2+
文件大小
68.0 MB
开发者
Ubongo
在APKPure安全快速地下载APK
APKPure 使用签名验证功能,确保为您提供无病毒的 Ubongo Kids - Hesabu za Panya APK 下载。

Ubongo Kids - Hesabu za Panya历史版本

APKPure 图标

在APKPure上极速安全下载应用

一键安装安卓XAPK/APK文件!

下载 APKPure
thank icon
We use cookies and other technologies on this website to enhance your user experience.
By clicking any link on this page you are giving your consent to our Privacy Policy and Cookies Policy.
Learn More about Policies